Orodha ya Wachezaji Waliochoguliwa Kuwakilisha Timu ya Taifa Katika Mashindano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki 2024
3 min
Chama cha Mpira wa Wavu Tanzania, TVF, kimetangaza orodha ya wachezaji waliochoguliwa kuwakilisha Timu ya Taifa, ALMASI KINGS, katika Mashindano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayotarajia kufanyika nchini Rwanda kuanzia tarehe 01 hadi 10 Februari 2024.
Orodha hiyo inajumuisha jumla ya wachezaji wa kiume 14 kutoka katika vilabu mbalimbali nchini na nje ya nchi. Wachezaji waliorodheshwa ni:
TVF imetoa matokeo ya uchunguzi wa sifa za wagombea wa uongozi ambapo baadhi wamepitishwa na wengine wamekatwa. Kamati imetoa utaratibu wa pingamizi na rufaa kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi.
TVF imetangaza uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 21 Desemba 2025 jijini Dodoma. Fomu zinapatikana kuanzia tarehe 10 Novemba hadi 24 Novemba 2025 kupitia tovuti ya TVF. Wadau wote wa mpira wa wavu wanahimizwa kushiriki kwa kuchukua na kurejesha fomu kwa wakati.
Hati mpya kupatikana kwenye tovuti zikiwemo: Kanuni za Ligi na Usajili [2025], Kanuni za Maadili, Kanuni za Uchaguzi, Kanuni za Fedha na Utawala (Machi 2025) na Katiba ya hivi karibuni [Toleo la 2023]